May the Lord rest his soul in peace Amen. he is just sleeping let’s hope that we shall meet again when the great day comes for those who believe inJesus christ our Lord and sing new songs to praise and gloryfy our creator. Kwa hiyo imeonekana si rahisi kwake kutoka kwenda kufuata pesa mahali ofisi za Western Union zilipo. has i thought of my late brother fanuel my hearth trebled with fear then i said i wish i had the power to stop the death of my brother then I heard a voice from heaven saying,Blessed are the dead who die in the Lord from now on.” “Blessed indeed,” says the Spirit, “that they may rest from their labors, for their deeds follow them. Asante mbarikiwe sana. mungu alimpenda zaidi. As for Sedekia, he has fought a good fight and has completed the journey. Natoa pole kwa familia na yeyote aliyeguswa na msiba huu.Muhimu tuwe tayari kwani hatujui saa wala siku,sedekia amekenda akiwa na nguvu na alimtumikia mungu sana je mimi na wewe tumejiandaaje.mungu atupe nguvu tumtumikie muumba wetu kabla wakati wetu wa kuitwa haujafika. may god bless her wife and children and his family members. Life is a journey but brother this is the only way to our maker. All is not LOST…. Rest In Peace Fanuel, But you remain forever in our hearts and minds… as we listen to you lead us in worshiping our God! It is terribly sad to lost our beloved gospel singer FANUEL SEDEKIA. Pole sana Mrs. Sedekia na watoto Hellen & Hilda. Create a free website or blog at WordPress.com. Wapendwa, nimewaza sana juu ya jambo hili na ndipo nikakumbuka kuwa tupo safarini, hapa duniani sisi ni wageni na wapitaji, hatuna mji udumuo hapa, TUNAPASWA KUKUMBUKA HILO ASUBUHI, MCHANA, JIONI NA USIKU. To his young family – Whenever God plucks from his garded he always comes back to fill the gap. Pole sana mtumishi wa Mungu Christopher Mwakasege. naskitika sana lakini hatuna budi kukubali kwani yote ni ya mungu. Mimi nimeishiwa ya kusema na iliniwia ngumu sana kuamini niliyoyasikia ila imenibidi nikubaliane na hali kwani kazi ya Mungu haina makosa na kiuhalisi hatuwezi kubadilisha chochote. Our thoughts are with you (gospel music lovers) and especially his family at this most difficult time of loss. Sitoweza kumsahau mtumishi huyu kutokana na kazi kubwa aliyoifanya kiasi ambacho mpaka sasa siwezi kuchagua ni wimbo upi mzuri kupita mingine katika kazi yake. Let the will of God be done. Tumepokea Kwa masikitiko makubwa msiba huu wa fanwal sedekia mungu aifariji familia ya ndugu sedekia Kwani tunajua huduma aliyonayo ilimbariki Kila mmoja na sasa mungu amempe nda zaidi yetu bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana L.barikiwe Fanuel is in a better place. Yeye ndiye muweza na anajua kwanini amefanya hivyo. I want to send my condolesence to his wife, his whole family friends and the christian family of his local church May the peace of GOD WHICH SURPASSES ALL HUMAN UNDERSTANDING dwell in you during this time of loss. Fanuel didn’t deserve to die. Jina lake lihimidiwse. Please email us the name of the person responsible for the contribution and the city in Tanzania we can send the money to and possibly which system to us that is accessible to you between Western Union and Money Gram. Baada ya hapo mwili wake utaendwa kulazwa katika makaburi ya manispaa ya Arusha yaliyoko Njiro. Kumbuka, sis ni wasafiri na hatukai hapa milele. I still up to now can’t believe that Fanuel Sedekia has left us physically and we can never see him again on the stage singing for the cogragation,we loved him but we have proved that God loved him much.Natoa pole zangu kwa wote walioguswa na msiba huo wa sedekia esspecially mke wake mpendwa, watoto wake na jamaa nzima Sekedia Pumzika kwa amani Brother. binguni ndiyo kwetu, tunangojewa…, kindly the family of ZEDEKIAH, my email is:- peterothe@yahoo.com, My Skype is peterothe2, tell:+25290506864, +252678142004, Oh God! I Love the worship from the man of God. The former had playlists rich in Plus One, Deas Vail, Skillet and Switchfoot, the latter stuck to Mercy Me, Don Moen, Casting Crowns and Emachichi. HIVI WAPENDWA TUJIULIZE KAMA MUNGU ANACHUKUA WATU WANAOMWIMBIA KILA SIKU NA KUMTUKUZA YEYE, SISI WENYE DHAMBI AMBAO MIDOMO YETU KILA MARA HUTUKANIA MATUSI, KUSEMA UONGO, KUTONGOZEA KINA DADA TUNABAKI HIVI INAKUWAJE? But since Our Creator loved him so much, let His will be done. YA HARUSI YA MWANA KONDOO. Mungu aendelee kuwatunza. CHUCHUMILIA MEDE YA THAMANI ILIYO MBELE YAKO ASIJE MWIZI AKAIBA. NA BWANA AMETWAA JINA LAKE NA LIBARIKIWE. JESUS IS LOVE. The last time that Sheikh Amri Abeid Stadium served as a mass funeral venue was in January 2009, for gospel music singer Fanuel Sedekia, who died in Jerusalem in December 2008. Mungu alitukuzwa na atazidi kutukuzwa kwa uwepo wake hapa duniani. Fanuel’s music has been a blessing to me away from my Mama Africa! Marehemu ameacha Mke na Watoto Wawili. eeee furaha wa yesuu, …. Wenye haki hulala baada ya kulitumikia kusudi la Mungu katika maisha yao. BWANA AMETOA NA BWANA AME TWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE AMEN! Bwana awatie nguvu katika hali zote. BADO INAKATAA KUINGIA AKILINI TUKIKUMBUKA ALIPOKUJA KUREKODI KANDA YAKE YA MWISHO [MANUKATO] KATIKA STUDIO YETU, ALIKUWA MZIMA TUKICHEKA NA KU CHAT NAYE. Kila nifikiriapo sipati picha ya huu msiba mkubwa, msiba huu umenisikitisha sana, nimeumia sana moyo wangu baada tu ya kusikia habari hizi sikujua kwa haraka wanamzungumzia nani, mpendwa mmoja akanipa chorus ya mmoja wa wimbo wa Mpendwa wetu Fanuel Sedekia kwa kweli machozi yalinibubujika sana. Baaba ya taarifa ya msiba hata ambaye hakuwa na kanda ya nyimbo zako alikwenda kununua kwa namna hiyo kifo chako kimeongeza Uinjilisti. Jina la BWANA lihimidiwe! Kwakweli nimestushwa na habari hii, lakini sababu ni kazi ya Mungu hatuna budi kuiheshimu! hi!am from kenya.its a long story,but veiw words..!!! Yaniwia ngumu kuamini, nimepigwa butwaa. mwenzetu ametangulia kwenda kwa baba na kapumzikz mimi nadhani kazi aliyokwisha ifanya (ambayo nadhani kwa Mungu ilikuwa imetosha), itazidi kuhubiri……ingawa amelala lakini “bado akali akinena” Nasi kila mmoja kwa sehemu yake ahakikishe anaishi ndani ya Yesu na Yesu ndani yake ili kuishi kuwe ni Kristo na kufa kuwe ni faida…..Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe, Amina! tunaomba faraja ya roho mtakatifu. Asante Radio Safina kwa kutumia muda wenu wote kutangaza matangazo. Truly, HIS thoughts are not our thoughts, neither are our ways HIS ways…Isa. Sedekia kazi uliyotumwa umeimaliza ilikuwa vita ya kweli, tumuombee mke na watoto wake. for sure I CRIED after several hours because of unbelievable news that the brother in christ(FANUELI SEDEKIA) IS NO MORE.It was not easy to take the news.his songs are so blessing.
Used Canon 500 F4 Ii,
Babyletto Mattress Size,
American Flag Glock Slide,
Ben Auto Sales,
Stripe Card Element,
Bush Pilot Canada,